1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

MUNICH: Stoiber aitikia mbinyo kuondoka madarakani

19 Januari 2007
https://p.dw.com/p/CCZj
Nchini Ujerumani,baada ya kuwa na mvutano wa majuma kadhaa kuhusu uongozi wa chama cha CSU,waziri mkuu wa mkoa wa Bavaria Edmund Stoiber ametangaza kuwa ataondoka madarakani tarehe 30 Septemba.Stoiber vile vile atajiuzulu kama mwenyekiti wa CSU,ambacho ni chama ndugu cha CDU cha Kansela Angela Merkel.Wanachama wa CSU walitoa mwito wa kumtaka Stoiber ajiuzulu kufuatia kashfa ya madai kuwa mshindani wake katika chama alipelelezwa.Stoiber alieshindwa kuwa kansela katika uchaguzi wa mwaka 2002,ameuongoza mkoa tajiri wa