1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Museveni ambadilisha mkuu wa majeshi kuwa waziri wa mambo ya ndani

24 Mei 2013

Rais Yoweri Museveni wa Uganda amefanya mabadiliko ya ghafla katika safu za uongozi serikalini na jeshini kwa kumuondoa mkuu wa majeshi, Aronda Nyakairima, na kumpa nafasi ya uwaziri wa mambo ya ndani.

https://p.dw.com/p/18dL5
Uganda's President Yoweri Museveni speaks during a press conference at his country home in Rwakitura, about 210 kilometres from the capital Kampala, on September 24, 2012. Museveni said he sent a team of legislators to the United Nations' headquarters in New York City to lobby for financial assistance for the neutral force that is to be based in the Democratic Republic of Congo to stabilize the country following unrest due to M23 rebels intending to oust the incumbent president Joseph Kabila. AFP PHOTO/ ISAAC KASAMANI (Photo credit should read ISAAC KASAMANI/AFP/GettyImages)
Yoweri Museveni, Präsident von UgandaPicha: AFP/Getty Images

Nyakairima ni mmoja kati ya viongozi wa kijeshi waliotajwa katika barua ya Jenerali Sejusa akidaiwa kuwa mmoja wa waliopangwa kuuliwa kutokana na kupinga mikakati ya Museveni kutaka kumuweka mwanawe madarakani.

Saumu Mwasimba amezungumza na mchambuzi na mwandishi wa habari mjini Kampala, Ally Mutasa, juu ya hatua hiyo ya Rais Museveni.

Kusikiliza mahojiano hayo, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Saumu Yusuf
Mhariri: Mohammed Khelef