1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Muziki wa Rap katikati ya vita DRC

Yusra Buwayhid
17 Aprili 2018

Ili kutueleza hadithi yao, wanamuziki hawa wa Rap wa kundi la Small League Music (SLM) wanahatarisha maisha yao nchini DRC ambako mauaji ya watu na mabomu yanashuhudiwa mara kwa mara.

https://p.dw.com/p/2wD4O