1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mvua za Dar es salaam na athari zake

Sylvia Mwehozi
18 Oktoba 2019

Ni lini adha hii ya athari za mvua jijini Dar es salaam itatatuliwa? Picha hizi zimepigwa katika maeneo ya bonde la Msimbazi jijini Dar es salaam. Kama mkazi wa jijini unadhani upi ni mwarobaini wa tatizo hilo? Kurunzi

https://p.dw.com/p/3RXPZ