1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mvua zasababisha maafa Dar

Iddi Ssessanga
16 Aprili 2018

Watu tisa wamefariki na wengine kadhaa wamejeruhiwa kutokana na mvua zinazoendelea kulikumba jiji la Dar es Salaam. Hali ni mbaya hasa kwa wakaazi wa mambondeni, ambako nyumba zaidi ya 300 zinaripotiwa kusomba na mafuriko ya mvua hizo.

https://p.dw.com/p/2w9R7