1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwaka mmoja tangu ilipotokea ajali ya meli visiwani Zanzibar

10 Septemba 2012

Usiku wa kuamkia tarehe kama ya leo (10.09.2012), mwaka mmoja uliopita, ajali mbaya kabisa ya baharini ilitokea visiwani Zanzibar.

https://p.dw.com/p/165w9
Juhudi za uokozi wakati wa ajali ya MV Spice Islander mwaka jana
Juhudi za uokozi wakati wa ajali ya MV Spice Islander mwaka janaPicha: AP

Meli ya Mv Spice Islander ilizama kwenye mkondo wa Nungwi ikitokea Unguja kuelekea Pemba, ambapo zaidi ya watu 1,000 waliripotiwa kufa na au kupotea, huku mali isiyojuilikana thamani yake ikighariki na meli hiyo ya mizigo. Mohammed Khelef amezungumza na Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu wa Zanzibar, Rashid Seif, anayeanza kwa kuuzungumzia mwaka huu mmoja tangu kutokea kwa ajali hiyo:

(Kusikiliza mahojiano bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mahojiano:Khelef/Rashid

Mhariri: Mohammed Abdulrahman