1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwaka mmoja wa Rais Barack Obama madarakani

20 Januari 2010

Kama unavyofahamu msikilizaji umetimia mwaka mmoja tangu Rais Barack Obama wa Marekani alipoingia madarakani huko Marekani.

https://p.dw.com/p/Lc3U
Rais Barack Obama wa MarekaniPicha: AP

Pindi baada ya kuushika wadhifa huo Rais Obama alilizuru bara la Afrika mahsusi Ghana ambako ni mfano wa kuigwa wa taifa linalodumisha demokrasia na uongozi bora.Suala hilo pmaoja na kupambana na rushwa ni mambo ya msingi aliyoyazungumzia Rais Obama.Hata hivyo raia wa Kenya walitaraji kwamba kiongozi huyo ambaye babake ana asili ya Kenya angelizuru pia taifa hilo.Jee mpaka sasa Kenya ina mtazamo gani wa Rais Obama?Hilo ndilo suali Thelma Mwadzaya alilomuuliza Dr. Tom Namwamba mhadhiri wa Falsafa katika Chuo Kikuu cha Kenyatta kilichoko Nairobi, Kenya.

Mtayarishaji: Thelma Mwadzaya

Mhariri: Aboubakary Liongo