1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanablogu apigania uhuru wa kujieleza Guinea

13 Machi 2018

Mwanablogu Sally Bilaly anafichua masuala ambayo vyombo vya habari haviwezi kuyazungumzia nchini mwake Guinea. Sally mwenye miaka 25 ameanzisha pia mradi wa "Villageois 2.0" blogu ambayo haiwapi tu vijana wa Guinea jukwaa la mtandao kuyajadili mawazo yao, lakini pia inataka uwazi kutoka kwa utawala ukizingatia na ufujaji wa pesa za umma.

https://p.dw.com/p/2uFNA