1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanajeshi Korea Kaskazini akitoroka

Sudi Mnette
22 Novemba 2017

Umoja wa Mataifa umetoa vidio inayoonesha mwanajeshi wa Korea ya Kaskazini akitorokea katika eneo la mpaka wa taifa hilo na Korea Kusini. Kafyatuliwa risasi tano lakini alinusurika. Zaidi tazama vidio.

https://p.dw.com/p/2o2vy