1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanamazingira aleta hewa safi Abidjan

3 Desemba 2015

B. Delagneau ni mwanamazingira aliye katika kampeni. Alianzisha jitihada za kuboresha hali ya hewa mjini Abidjan, mji ambao umekuwa na uchafuzi mkubwa wa mazingira kutokana na kukatwa miti ovyo na wingi wa magari chakavu

https://p.dw.com/p/1HGJ9
Africa on the Move Aktivisten pflanzen Bäume
Picha: DW

Mwanamazingira aleta hewa safi Abidjan