1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanasheria afafanua sintofahamu uchaguzi Zanzibar

Elizabeth Shoo10 Februari 2016

Kumekuwepo na maswali kuhusiana na mustakabali wa serikali ya umoja wa kitaifa. Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar vyama vinavyounda serikali hiyo vinapaswa kupata angalau asilimia kumi ya kura.

https://p.dw.com/p/1HsXK
Mabango ya kampeni Zanzibar
Picha: Getty Images/AFP/D. Hayduk

[No title]

Utata unajitokeza baada ya Chama cha Wananchi CUF, ambacho kina wanachama wengi visiwani humo, kusema hakitashiriki uchaguzi huo.
Awadhi Said ni Rais wa zamani wa Chama cha Wanasheria Zanzibar na anafafanua zaidi juu ya utata uliopo.
Kusikiliza mahojiano bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.