1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mzee wa Kimasai mwenye familia kubwa ajabu!

29 Machi 2017

Ama kweli dunia haijapungukiwa na mshangao! Kutana na Oloibon wa Kimasai katika wilaya ya Monduli kaskazini mwa Tanzania, ambaye familia yake imejaza shule aliyoianzisha na watoto wao!

https://p.dw.com/p/2aGHd