Mzozo kati ya spika wa Tanzania na mbunge Masele

Sasa moja kwa moja
dakika (0)
Nchini Tanzania kumekuwa hali ya vuta nikivute katika bunge la jamhuri ya taifa hilo baada ya spika wake Job Ndugai kutoa amri ya kutaka arejee nyumbani Naibu wa Rais wa Bunge la Afrika Stephen Masele kwa kile alichodai kufanya mambo ya hovyohovyo huko Afrika Kusini.

Sudi Mnette amempata mbunge Masele na kwanza amemuuliza pamoja na hilo la mambo ya hovyo anazungumziaje lawama za kugonganisha mihilili ya dola ya Tanzania? Sikiliza zaidi mahojiano hayo

Tufuatilie