1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mzozo katika Ziwa Edward waendelea

12 Julai 2018

Balozi wa DRC nchini Uganda ameyakosoa mamlaka ya nchi yake na Uganda kwa kupuuza mwenendo wa mauaji yanayoendelea kwenye Ziwa Edward lililoko kwenye mpaka wa mataifa hayo mawili. Wavuvi 12 wanaripotiwa kuuawa.

https://p.dw.com/p/31KSQ
Ziwa Edward
Picha: Brent Stirton/Getty Images for WWF-Canon

J2 12.07.2018 Uganda: DRC ON LAKE EDWARD CLASHES - MP3-Stereo