1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mzozo wa njaa Sudan Kusini

John Juma
23 Oktoba 2017

Tangu mwaka 2013, kumekuwa na vita vibaya vya wenyewe kwa wenyewe Sudan kusini. Nchi ilipopata uhuru baada ya muongo mmoja wa vita, pengo la madaraka limeitumbukiza nchi katika ghasia. Raia wanaendelea kuteseka. Wengi wanakabiliwa na njaa na zaidi ya watoto milioni moja wakikumbwa na utapiamlo huku maeneo mengine yakiwa hayaendeki.

https://p.dw.com/p/2lub6