1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

NÜRNBERG: Wakosa ajira wapunguka Ujerumani

28 Septemba 2007
https://p.dw.com/p/CBM6

Nchini Ujerumani,idadi ya watu wasio na ajira katika mwezi huu wa Septemba,imepunguka hadi kufikia milioni tatu na nusu.Kwa mujibu wa Shirika la Ajira la Ujerumani,hiyo ni asilimia 8.4 kulinganishwa na 8.8 katika mwezi wa Agosti.