1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nafasi za ajira kwa wahamiaji wanaorudi Guinea

John Juma
30 Aprili 2018

Changamoto mbalimbali husababisha vijana wengi kujaribu safari hatari kutoka nchi hii ya Afrika magharibi kujaribu kuhamia Ulaya kutafuta maisha mema. Wale ambao hulazimika kurudi hukumbwa na changamoto ya kujenga upya maisha yao.

https://p.dw.com/p/2wvYr