1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Naibu Waziri Mkuu Musalia Mudavadi wa Kenya ajiuzulu

2 Mei 2012

Nchini Kenya, Naibu Waziri Mkuu Musalia Mudavadi leo amejiuzulu kama Waziri wa serikali za mitaa na kutangaza kukihama chama cha ODM.

https://p.dw.com/p/14o7a
Jengo la Bunge mjini Nairobi
Jengo la Bunge mjini NairobiPicha: DW

Mudavadi amesema atawania wadhifa wa rais kupitia chama kipya cha United Democratic Front - UDF. Bw Mudavadi hata hivyo atasalia katika wadhifa wake wa Naibu Waziri Mkuu. Alfred Kiti anayo zaidi kutoka mjini Nairobi.

(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Alfred Kiti (Nairobi )

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi