1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Naibu waziri wa Ulinzi nchini Somalia, Youssuf Mohammed Siad aachiliwa huru

Jane Nyingi7 Oktoba 2009

Nchini Uganda mheshimiwa Youssuf Mohammed Siad aliyekamatwa kutokana na kushukiwa kuwa gaidi ameachiliwa huru.

https://p.dw.com/p/K1AC

Waziri huyo msaidizi alitiwa mbaroni na polisi nchini Uganda kufuatia ripoti za kutatanisha kuwa gaidi kutoka Somalia alikuwa safarini kuingia nchini humo. Hivi punde nimezungumza kwa njia ya simu na msemaji wa jeshi la kulinda amani la Umoja wa Afrika nchini Somalia leteni kanali Felix Kulaygye na kwanza anaeleza kilichopelekea kukamatwa kwa Bw Youssuf Mohamed Siad.