1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ndoto ya Viviane Peled kuwa nahodha wa meli kwenye Mto Congo

29 Februari 2016

Viviane Peled analenga kuwa nahodha wa kwanza mwanamke kwenye mto Congo. Anasomea katika chuo cha mafunzo ya meli mjini Kinshasa.

https://p.dw.com/p/1I4NK
Kongo Viviane Peled
Picha: DW/T. Klein

Ndoto ya Viviane Peled kuwa nahodha wa meli kwenye Mto Congo