1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ndoto za Olimpiki za wanariadha wa Uganda

Yusra Buwayhid
31 Januari 2018

Kizazi kipya cha wanariadha wa Uganda kinajitayarisha kwa bidii zote ili kuweza kufuzu katika mashindano ya kimataifa. Wakiwa wamehamasishwa na mafanikio yao walioyapata katika michezo ya Olimpiki ya London, Uingereza. Licha ya kuwa na upungufu wa rasilmali kadhaa bidii yao ni ya kiwango cha juu.

https://p.dw.com/p/2rsBy