1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

NEW YORK.Mkutano wa mashariki ya kati

25 Septemba 2007
https://p.dw.com/p/CBMk

Rais G Bush amefanya mazungumzo na rais Mahmoud Abbas wa mamlaka ya Palestina pamoja na mjumbe wa pande nne anaeshuhgulikia mgogoro wa mashariki ya kati bwana Tony Blair.

Rais Bush ,pamoja na bwana Mahmoud Abbas na Tony Blair wamejadili njia za kuendeleza mchakato wa kufikia kwenye mkutano wa amani baina ya Isreal na Palestina.