Nini tafsiri ya mabadiliko yaliyoidhinishwa na Kamati Kuu ya CCM?

Sasa moja kwa moja
dakika (0)
14.12.2016

J2.14.12.2016Tansania: CCM - MP3-Stereo

Chama tawala nchini Tanzania (CCM) kimepunguza idadi ya wajumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu katika juhudi za kupunguza matumizi

Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kinachotawala nchini Tanzania, kimeazimia kupunguza idadi ya wajumbe wa kamati hiyo kutoka 34 hadi 24, na wajumbe wa Halmashauri Kuu kutoka 388 to 158. Nini tafsiri ya mabadiliko haya chini ya uongozi wa mwenyekiti mpya ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli? Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi wa siasa za Tanzania, Jenerali Ulimwengu. Sikiliza mahojiano hapa.

Maudhui Zinazofanana

Tufuatilie