1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Njaa tishio kwa zaidi ya watu milioni Sudan Kusini

Sudi Mnette
8 Desemba 2017

Zaidi ya watu milioni 1.2 Sudan Kusini wananyemelewa na baa la njaa, Mazungumzo ya Uingereza kujitoa katika Umoja Ulaya yanatoa mwelekeo wa kuingia awamu ya pili na Chama cha Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel CDU kitafanya mazungumzo ya awali ya kuunda serikali pamoja na SPD.

https://p.dw.com/p/2p2Gx