1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Odinga asisitiza ataapishwa rais

26 Januari 2018

Wataalamu wa muungano mkuu wa upinzani NASA wameweka bayana kuwa wanazo hati zinazothibitisha kuwa Raila Odinga ndiye aliyepata kura nyingi katika uchaguzi mkuu wa Agosti mwaka uliopita, uliompa ushindi Kenyatta.

https://p.dw.com/p/2raHF
Raila Odinga kiongozi wa upinzani Kenya
Picha: Reuters/J. Okanga

J3 26.01 Nairobi: Raila still insists on being sworn in- neu - MP3-Stereo