1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ofisi za Ubalozi wa Ubelgiji zafungwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

3 Juni 2008

Ofisi za ubalozi wa Ubelgiji nchini DRC zimefungwa kwenye miji ya Lubumbashi na Bukavu.

https://p.dw.com/p/EC3V

Hatua hiyo inafuatia kuzorota kwa uhusiano baina ya nchi mbili hizo. Kongo imelaumu uingiliaji kati wa maswala yake ya ndani na viongozi wa Ubelgiji.

Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo