1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ongezeko la watu wasiokuwa na makaazi barani Ulaya

Zainab Aziz
20 Machi 2019

Makala ya Mwangaza wa Ulaya inaangazia baa la kuongezeka kwa idadi ya watu wasiokuwa na makaazi katika nchi za Ulaya. Jee nini maana ya mtu asiekuwa na makaazi? Jiunge na mtayarishaji Zainab Aziz, atakayekufahamisha kwamba ukweli si watu wote wasiokuwa na maakazi wanalala nje.

https://p.dw.com/p/3FLei