1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Papo kwa Papo 19.07.2016

19 Julai 2016

Watu watano wajeruhiwa katika shambulizi lililotokea katika kituo cha treni Ujerumani, safisha safisha yaendelea Uturuki baada ya jaribio la mapinduzi lililofeli na mkutano mkuu wa chama cha Republican wafanyika Marekani, kumuidhinisha rasmi Donald Trump kuwa mgombea wa chama hicho.

https://p.dw.com/p/1JRUH