1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Paris: Picha zilizochorwa na msanii Picasso zimeibiwa mjini Paris

28 Februari 2007
https://p.dw.com/p/CCNo

Picha mbili za kuchora za Pablo Picasso, zenye gharama ya Euro milooni 50, zimeibiwa kutoka nyumba ya mjukuu wa msanii huyo ilioko Paris. Picha hizo ni pamoja na ile ya sura ya binti yake, kwa jina la Maya na mtoto wa sanamu, na pia sura ya mke wake wa pili, Jaqueline. Ziliibiwa usiku wa jumatatu. Polisi wa Paris wanafanya uchuguzi kuhusu wizi huo.