1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Polisi Tanzania wamwachia Askofu Mwamakula

Sudi Mnette
16 Februari 2021

Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, nchini Tanzania leo hii limemuachia kwa dhamana mkosoaji wa serikali ya rais John Magufuli, Askofu Emmaus Mwamakula wa kanisa la Uamsho la Moravian baada ya kukamatwa hapo jana kwa tuhuma za kuchochea maandamano kwa njia ya mtandao. Je nini sababu ya yeye kukamatwa?

https://p.dw.com/p/3pRX2