1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Pombe ya Migomba

Amina Mjahid
1 Machi 2018

Pombe ya Migomba inajulikana zaidi nchini Rwanda kutoka enzi za kale. Pombe hiyo maarufu hutumika sana sehemu za vijijini hususan katika mila za kitamaduni kama sherehe kubwa na karibisho za kuafikiana. Tazama Video hii iliyotumwa na Rex Rugenera. Papo kwa papo 01.03.2018

https://p.dw.com/p/2tXdo