1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Popo yatima wapata hospitali maalumu Australia

Yusra Buwayhid
15 Februari 2019

Popo wachanga waliopoteza mama zao baada ya kung'atwa na kupe wanahudumiwa masaa ishirini na nne katika hospitali ya Tolga Bat nchini Australia. Na wakishajiweza, wanaachiliwa huru kuishi maisha yao misituni nchini humo.

https://p.dw.com/p/3DRkZ