PSG waachwa midomo wazi na Lille

Mabingwa watarajiwa wa Ufaransa Paris Saint Germain watasubiri kwa muda zaidi kuzawadiwa kombe la ubingwa wa nchini humo.

Hii ni baada ya kupewa kipigo kikali cha mabao 5-1 na Lille katika mechi iliyochezwa Jumapili.

Licha ya kibano hicho PSG bado wapo kileleni wakiwa na pointi 81, pointi 17 mbele ya Lille walio kwenye nafasi ya pili wakiwa na pointi 64.

Maudhui Zinazofanana

Michezo | 20.05.2019

Mbappe kuihama PSG?

Michezo | 22.04.2019

PSG watawazwa ubingwa

Michezo | 25.07.2018

Boateng aelekea PSG?

Mada Zinazohusiana

Tufuatilie