1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Raila Odinga kuungwa mkono na chama cha KANU katika uchaguzi ujao

14 Septemba 2012

Chama cha siasa kilicholikomboa taifa la Kenya na ambacho nuru yake ya kisiasa hivi sasa imefifia kimetangaza kumuunga mkono mwenyekiti wa ODM Raila Odinga katika uchaguzi ujao.

https://p.dw.com/p/168qr
Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga
Waziri Mkuu wa Kenya Raila OdingaPicha: AP

Jambo hilo limezusha mjadala katika siasa za taifa hilo na hasa katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu.

Kutoka Nairobi Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi wa siasa za taifa hilo, Prof. Macharia mhadhiri wa chuo kikuu cha kimataifa cha kimarekani nchini Kenya na kwanza alimuuliza kauli ya mwenyekiti wa KANU, Gideon Moi ina lengo gani?

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini).

Mwandishi: 'Sudi Mnette

Mhariri: Othman Miraji