1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Raila odinga kuwasilisha madai yake mahakama ya juu

Lilian Mtono
16 Agosti 2017

Kiongozi wa upinzani Kenya, Raila Odinga kufikisha madai ya kuibiwa kura kwenye mahakama ya juu nchini humo, Mke wa Rais wa Zimbabwe, Grace Mugabe aomba Kinga ya kidiplomasia baada ya tuhuma za kumshambulia mwanamitindo na Colombia yamaliza rasmi vita vilivyodumu kwa miaka 50. Papo kwa Papo: 16.08.2017

https://p.dw.com/p/2iMmW