1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Kabila aiambia Ubelgiji isiingilie masuala ya ndani ya nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

25 Aprili 2008

Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya kidemokrasi ya Kongo ameiomba Ubeligiji ifafanue vyema uhusiano wake na nchi yake.

https://p.dw.com/p/Dok8
Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya KongoPicha: AP

Rais Kabila alisema hawezi kamwe kukubali viongozi au wanasiasa wa nchi nyengine kuingilia kati masuala ya ndani ya Kongo.

Hayo yanafuatia matamshi ya waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ubelgiji Karel de Gucht , kama anavyosimulia zaidi mwandishi wetu huko Kinshasa, Saleh Mwanamilongo.