1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Kikwete asaini sheria mpya ya gharama za uchaguzi

18 Machi 2010

Vyama vya upinzani vyailalamikia sheria hiyo

https://p.dw.com/p/MVHY
Rais Jakaya Kikwete wa TanzaniaPicha: AP Photo

Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete, ametia saini sheria ya gharama za uchaguzi ambapo, kwa mara ya kwanza, waandishi wa habari na watu wengine walialikwa kushuhudia tukio hilo katika Ikulu mjini Dar es Salaam.

Sheria hiyo imekosolewa na bwana Jorum Bashange, naibu katibu mkuu wa chama cha wananchi, CUF, Tanzania pamoja na bwana Tundu Lisu, mkurugenzi anayehusika na maswala ya katiba wa chama cha CHADEMA

Mtayarishaji: Josephat Charo
Mhariri: Miraji Othman