1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais wa Georgia apata muhula mwingine ,wapinzani wadai kulifanyika mizengwe

7 Januari 2008
https://p.dw.com/p/ClPq

TIBLIS:

Matokeo ya mwanzo kutoka uchaguzi wa urais nchini Georgia yanaonyesha kama rais Mikhael Saakashvili amepata zaidi ya kura asilimia 50 ya kura zote ambazo zimepigwa.Matokeo haya yatampauwezo kuepuka marudio ya uchaguzi dhidi ya mpinzani wake wa karibu katika kipindi cha wiki mbili kutoka sasa.Maelefu ya wafuasi wa upande wa upinzani wameandamana katika mji mkuu wakidai kuwa kumefanyika mizengwe kumpendelea. -David USUPASCHWILI ni kiongozi wa upinzani.

O-Ton..USUPASCHWILL…

Hata hivyo wachunguzi kutoka shirika la usalama na ushirikiano la Ulaya wamesema wametosheka na uchaguzi.

O-Ton Hastings…

Mkuu wa rume ya uchaguzi ya Georgia ameiambia Duesche Welle kuwa huenda wiki mzima ikapita kabla ya kujua matokeo yote.