1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais wa Uganda ahutubia Bunge

Admin.WagnerD13 Desemba 2012

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amelihutubia bunge kwenye kikao kilichosusiwa na wabunge wa upinzani. Kwenye hotuba yake, aliwakashifu baadhi ya wabunge waliokuwa wanaupinga muswada wa mafuta uliopitishwa na bunge.

https://p.dw.com/p/171v0
President Yoweri Museveni of Uganda answers questions during a news conference following graduation ceremonies at Command and General Staff College in Fort Leavenworth, Kan., Friday, June 13, 2008. Museveni was at Fort Leavenworth to watch his son graduate. (AP Photo/Orlin Wagner)
Rais Yoweri Museveni wa UgandaPicha: AP

Kuhusu muswaada huyo ulipitishwa wiki iliyopita rais Museveni alisema wanatumiwa na wageni kutoka nchi za nje ili kutimiza maslahi ya nchi za kigeni. kusikiliza taarifa ya Mwandishi wetu wa Kampala, Leylah Ndinda bonyeza alama ya kusikiliza masikioni hapo chini.

Mwandishi: Leylah Ndinda
Mhariri: Saumu Mwasimba

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi