1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rigobert Song apelekwa hospitali katika hali mahtuti

Daniel Gakuba
3 Oktoba 2016

Mwanasoka nyota wa Cameroun Rigobert Song ni mahtuti baada ya kupata kiharusi, Wengi wapoteza maisha katika mkanyagano nchini Ethiopia, Hungary wapiga kura kupinga mpango wa Ulaya kuhusu wakimbizi, Colombia nako mpango wa amani wakataliwa katika kura ya maoni.

https://p.dw.com/p/2Qq21