1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ripoti ya Shirika la Haki za Binaadamu la Human Right Watch

16 Mei 2008

Shirika la Haki za Binaadamu la Human Right Watch limeukosoa mswaada uliochapishwa kwa ajili ya kuanzisha tume ya Ukweli Haki na Maridhiano nchini Kenya.

https://p.dw.com/p/E0US

Mswaada huo umependekezwa na serikali kupitia mkataba uliotiwa saini na Rais Mwai Kibaki na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Raila Odinga katika harakati za kuleta maridhiano na amani nchini humo.


Halima Nyanza alizungumza na Kamishna wa Tume ya Taifa ya Haki za Binaadamu nchini Kenya Hassan Omar Hassan kuhusiana na suala hilo.