1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Robot Sofia kutoa huduma katika sekta ya afya

Saumu Mwasimba
29 Januari 2021

Robot Sophia asema yuko tayari kuanza kutowa huduma za kusaidia katika sekta ya afya ili kumlinda binadamu kutokana na janga la virusi vya Corona.Kampuni iliyomtengeneza Roboti Sophia yasema ndani ya mwaka huu inatengeneza Robot wengine wengi kusaidia katika sekta ya afya kutokana na janga la virusi vya Corona. Je upo tayari kuhudumiwa na Robot? Jiunge na Saumu Mwasimba katika kipindi cha Karibuni

https://p.dw.com/p/3oZV3