1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rwanda yapiga hatua vita dhidi ya ufisadi

Mjahida 9 Desemba 2015

Wachambuzi wanasema mafanikio ya Rwanda kwenye vita dhidi ya ufisadi yanatokana na kuwa na ushiriki wa moja wa moja wa taasisi kuu za utawala badala ya kuwa vita vya makundi ya kisiasa yenye maslahi tu ya kisiasa.

https://p.dw.com/p/1HKeK
Ruanda Präsident Paul Kagame
Picha: picture-alliance/AP Photo/S. Senne

[No title]