1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Said Djinit azuru mashariki mwa Kongo

25 Mei 2016

Muwakilishi maalumu wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa katika kanda ya maziwa makuu Said Djinit akiandamana na wajumbe wengine wa Umoja wa Afrika, wako Beni kutathmini hali ya mambo.

https://p.dw.com/p/1Iu2l
Kongo - Operation gegen die ugandischen Rebellen der ADF-Nalu
Picha: Reuters/Kenny Katombe

[No title]

Jinit ameandana pia na wajumbe wa Jumuiya ya kimataifa kwa ajili ya ukanda wa maziwa makuu, mjumbe wa Umoja wa Afrika katika ukanda huu na profesa Alphonse Ntumba Lwaba katibu mtendaji wa ICGLR. Watachunguza na kutathmini vitendo vya kinyama vinavyofannywa na waasi wa Uganda ADF katiak eneo hilo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.