1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sakata la madawa ya kulevya Tanzania

7 Februari 2017

Zaidi ya watu 100 wanashikiliwa na polisi Tanzania, kwa tuhuma za kujihusisha na utumiaji au biashara ya madawa ya kulevya, katika zoezi la kupiga vita biashara na matumizi ya madawa hayo Dar es salaam.

https://p.dw.com/p/2X7T4
Droge Methamphetamin Crystal Meth
Picha: imago/blickwinkel

M M T/ J2.06.02.2017_ Interview Drug Dealers in Tanzania-Paul Makonda - MP3-Stereo

Zoezi hilo linaongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Hata hivyo, utekelezaji wake umepokelewa kwa maoni tofauti. DW imezungumza na Paul Makonda na pia na mchambuzi na mwanasheria wa masuala ya kisiasa nchini Tanzania, Hussein Sengu, kwanza kabisa kutaka kujua maoni yale juu ya utaratibu unaotumika wa kuwakamata watu hao.