1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sanaa ya uchoraji wa michoro ya Grafitti

Saumu Ramadhani Yusuf26 Februari 2020

Katika utamaduni na sanaa tunatuwama kuangalia sanaa ya uchoraji wa michoro ya Grafiti kwenye mitaa ya Nairobi huko Kenya. Graffiti ni aina ya michoro iliyopata nafasi kubwa kiasi chake katika jamii nchini Kenya ikichorwa hasa kwenye majengo ya mitaa mbali mbali katika jiji la Nairobi hadi kwenye magari na matayarishaji ni Saumu Mwasimba karibu.

https://p.dw.com/p/3YRqh