1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sayon Bamba ni mwanamuziki wa Conakry aliyefungua chuo cha muziki ili kuwafunza muziki wanawake vijana

18 Novemba 2015

Sayon Bamba, mwanamke katika biashara ya muziki nchini Guinea, ambayo imetawaliwa zaidi na wanaume, ameamua kuweka kando changamoto alizokumbana nazo wakati anasomea muziki, na badala yake kuanzisha chuo katika mji mkuu Conakry, kinachowawezesha wanawake ambao wamekutana na ubaguzi katika sekta ya muziki iliyotawaliwa na wanaume.

https://p.dw.com/p/1H7wK