1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali ya DRC yapiga maarufuku kutajwa majina ya wanasiasa kwenye muziki

15 Mei 2009

Serikali ya Kongo imepiga marufuku kutajwa kwa majina ya wanasiasa na viongozi wa makampuni ya umma kwenye nyimbo za wanamuziki.

https://p.dw.com/p/HrHJ

Vilevile kurushwa kwa miziki ya aina hiyo katika vituo vya redio na televisheni nchini humo.Kulingana na serikali ya Kongo hatua hiyo ina azma ya kuimarisha utendaji kazi .

Taarifa kamili anazo mwandishi wetu saleh Mwanamilongo.

Mwandishi: Saleh Mwanamilongo

Mhariri: Josephat Charo