1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali ya Kongo yakutana na viongozi wa makundi ya Waasi

13 Mei 2009

Baada ya kuwa na mazungumzo ya moja kwa moja na kundi la CNDP,serikali ya kongo imekutana mjini Kinshasa na wajumbe wa makundi yote ya wapiganaji wa kivu ya kusini na ya kaskazini.

https://p.dw.com/p/HpSk

Hatua hiyo ya serikali inafuatia makubaliano ya amani baina yake na makundi yote ya wapiganaji yaliotiwa saini mjini GOMA tarehe 23 machi iliopita.Tayari tofauti zimeanza kujitokeza baina ya wajumbe kwenye mkutano huo ambao wamekuwa wakidai pia kushirikishwa kwenye serikali.

Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo:


Mwandishi: Saleh Mwanamilongo

Mhariri: Mohamed Abdulrahman