1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali ya Tanzania kuhamia Dodoma?

3 Agosti 2016

Uamuzi wa ghafla wa Rais John Magufuli wa Tanzania kutaka serikali ihamie mji mkuu Dodoma kutoka Dar es Salaam imezua mjadala. Mtaalamu wa uchumi kutoka Tanzania, Ernest Ngowi, anaelezea athari za kiuchumi.

https://p.dw.com/p/1Jamg
Rais John Magufuli
Picha: Getty Images/AFP/D. Hayduk

[No title]